1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.10.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S24 Oktoba 2019

Mkutano wa kilele kati ya Urusi na Afrika unamalizika leo// Misri imekubali mwaliko wa Marekani kuhudhuria mkutano wa mawaziri wa Kigeni wa nchi hiyo na Ethiopia na Sudan, kuzungumzia mradi wa bwawa kubwa la kufua umeme kwenye mto wa Blue Nile uliopo Ethiopia// Kenya- Bandari ya Mombasa inatumika katika biashara haramu ya ulanguzi wa wanyama pori hasa pembe za ndovu.

https://p.dw.com/p/3RplA