1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.10.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Oktoba 2018

Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman anatarajiwa kuuhutubia mkutano mkubwa wa wawekezaji mjini Riyadh leo, ambao umegubikwa na kisa cha kuuwawa mwandishi habari wa Kisaudi Jamal Khashoggi ndani ya ubalozi mdogo wa falme hiyo mjini Istanbul.

https://p.dw.com/p/3771d