1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.09.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Septemba 2021

Kumekuwa na maoni mchanganyiko nchini Tanzania juu ya namna Rais Samia Suluhu Hassan alivyowasilisha hotuba yake ya kwanza katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa+++Waasi wa kundi la ADF waliushambulia mji mdogo wa kibiashara wa Komanda katika wilaya ya Irumu mkoani Ituri kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo+++Rais Erdogan hawezi kusema kuwa amekuwa na mwazo mzuri na rais Biden.

https://p.dw.com/p/40nog