24.09.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 24.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.09.2021 Matangazo ya Jioni

Joto la uchaguzi nchini Ujerumani limefikia kiwango cha juu kabisa ikiwa zimesalia saa 48 kabla wapiga kura kutemreka vituoni Jumapili ya Septemba 26 kulichagua bunge jipya+++Tunisia- UGTT imesema hatua ya Rais Kais Saied kuchukua mamlaka kamili na kuifanyia katiba mageuzi, ni hatari kwa demokrasia+++Jumuiya ya waumini wa Kiislamu nchini Uganda imefanya ibada ya kwanza ya Ijumaa.

Sikiliza sauti 60:00