1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.09.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S24 Septemba 2019

Mahakama ya juu ya Uingereza hii leo imetoa hukumu kuhusiana na mamuzi ya iwapo maamuzi ya waziri mkuu Boris Johnson ya kulivunja ama kulirejesha tena bunge// Viongozi wa dunia leo hii wanakusanyika kwa mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa// Viongozi wa nchi zenye nguvu barani Ulaya wameitaka Iran ikubali mazungumzo mapya kuhusu mpango wake wa nyuklia.

https://p.dw.com/p/3Q9aD