1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.09.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S24 Septemba 2019

Shirika la msaada la Oxfam limesema kuwa watu maskini zaidi duniani wamekuwa wakipata chini ya senti moja kwa siku ya msaada wa kimataifa kusaidia kuwakinga kutokana na hali mbaya ya hewa// Maandamano yaliotokea kwa mara ya kwanza ndani ya miaka mitatu mwishoni mwa juma lililopita mjini Cairo yalisababishwa na kutoridhika kwa hatua ya kupanda marudufu bei za bidhaa nchini humo.

https://p.dw.com/p/3Q8Xa