1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.08.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S24 Agosti 2017

Chama tawala nchini Angola, MPLA leo hii kimedai kuwa kitashinda kwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu unaofanyika nchini humo// Mjumbe wa ikulu ya Marekani, Jared Kushner, ameanza duru za mazungumzo na viongozi wa Israel na Wapalestina// Mamia kwa maelfu ya raia wa Yemen wameandamana hii leo katika mji mkuu wa nchi hiyo Sana'a.

https://p.dw.com/p/2imey