1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.08.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S24 Agosti 2017

Marekani imetangaza kuwa bado itaendelea kushiriki katika majadiliano yanayohusu mabadiliko ya tabia nchi ili kulinda masilahi yake licha ya mpango wake wa kujiondoa kwenye makubaliano yanayohusiana na mkataba wa Paris// Huko Eldoret, Kenya kijana mmoja amevumbua kifaa kinachoweza kuwasaidia watu walio na ulemavu wa mikono na miguu.

https://p.dw.com/p/2ija9