Mkutano wa kilele wa viongozi wa Jumuiya ya Madola mjini Kigali, Rwanda viongozi wamesema nchi zilizoendelea hazipaswi kulikimbia jukumu lao la kuzisaidia nchi zinazoendelea kutokana na matatizo yanayozikabili+++Mawaziri wa mambo ya kigeni, kilimo na maendeleo kutoka kote ulimwenguni wamekusanyika mjini Berlin.