24.06.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 24.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.06.2020 Matangazo ya Jioni

Kenya: Magavana wawili pekee wa kike wanakabiliana na kipindi kigumu uongozini, wote wakiandamwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka/ Tanzania: Mjadala umekuwa ukiendelea tangu kukamatwa kwa kiongozi mkuu wa chama cha upinzani ACT/ Bunge la Rwanda limepitisha muswada wa sheria itakayoruhusu ujenzi wa kiwanda cha nishati ya kinyuklia/ Marekani yarejea kwenye kilele cha maambukizi ya COVID-19

Sikiliza sauti 60:00