Upinzani washinda umeya jiji la Istanbul/ Pompeo awasili Saudi Arabia huku mvutano kati ya Marekani na Iran ukipamba moto/ Maombolezi ya nchi nzima yamefanyika leo Ethiopia baada ya kuuwawa kwa mkuu wa majeshi pamoja na kiongozi wa jimbo la Amhara katika mashambulio mawili tafauti yanayohusishwa na jaribio la mapinduzi dhidi ya uongozi wa jimbo hilo/ AFCON> Mahojiano