1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.05.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Mei 2017

Wanajeshi wa Uingereza wamewekwa katika vituo muhimu na hali ya tahadhari kuzidishwa makali baada ya shambulio la kigaidi la Manchester linalosemekana limefanywa na kijana mwenye asili ya Libya,aliyeanza kufuata itikadi kali baada ya kufika ziarani nchini Syria// Rais Uhuru Kenyatta amewataka viongozi wa kiislamu nchini kenya kushirikiana na serikali yake ili kuvishinda vita dhidi ya ugaidi.

https://p.dw.com/p/2dXAX