Rais wa Marekani anataraajiwa kukutana na kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni Papa Francis hii leo huko Vatikani// Migogoro ya Iraq, syria na Uturuki imezungukwa na utatanishi wa makundi ya kisiasa na kijeshi miongoni wa Wakurdi// Makundi ya kigaidi yanazidi kuwa kitisho katika sehemu ya kati ya Mali na yanaendelea husababisha kushuka kwa shughuli za kilimo na mamia ya mashule kufungwa.