1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.04.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S24 Aprili 2017

Ufaransa: Matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais yamepokelewa kwa moyo mkunjufu na viongozi mbali mbali wa dunia/ Israel: Ving'ora vililizwa kwa muda wa dakika mbili kama ishara ya kuwakumbuka Mayahudi milioni sita waliouawa kwenye mauaji ya Holocaust/ WHO: Chanjo ya kwanza dhidi ya malaria itaanza kufanyiwa majaribio nchini Kenya, Malawi na Ghana kuanzia mwaka ujao 2018

https://p.dw.com/p/2bpjK