1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

24.03.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S24 Machi 2021

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania unatarajiwa kuwasili jijini Mwanza/ Kenya: Kundi maalum la watoto wasioweza kuona wanashiriki mtihani wa kitaifa kwa matumizi ya breli/ Amnesty International limezikosoa mamlaka za Lebanon kwa kuwatendea unyama Wasyria zaidi ya 20 /Kenya: Shirika moja lisilo la kiserikali limefanikiwa kupunguza kiwango cha madini ya Flouride kwenye maji mtaani Kasarani

https://p.dw.com/p/3r2Wo