24.03.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 24.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.03.2020 Matangazo ya Jioni

Taifa la Tanzania limeendelea kuchukua hatua za kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona, huku mahakama nchini humo ikitangaza utaratibu mpya wa uendeshaji kesi hasa katika wakati huu wa janga hilo/ Corona: Mahojiano kuhusu hali nchini Italia/ Hali ya hewa inaendelea kuboreka katika nchi ambazo zimeweka marufuku ya watu kutotoka nje/ Mawaziri wawili wa zamani nchini Congo wakutwa na hatia

Sikiliza sauti 60:00