24.02.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 24.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

24.02.2021 Matangazo ya Mchana

Magufuli awaonya makandarasi wanaochelewesha miradi ya serikali/ Kenya: kaunti 39 zimeidhinisha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020/ Biden, Trudeau wakuza mahusiano ya Marekani na Canada/ Mahakama ya Ujerumani yamhukumu afisa wa zamani wa Syria/ Yemen yaonya wimbi jipya la COVID-19

Sikiliza sauti 59:59