1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.12.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S23 Desemba 2020

Mataifa kadha ya Ulaya yameanza kulegeza marufuku ya safari iliyowekwa dhidi ya Uingereza katika juhudi za kukabiliana na kuenea kwa kirusi kipya cha corona// Polisi Uganda wamkamata mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu ambaye ni mkosoaji wa serikali// Israel imeitisha uchaguzi wa mapema utakaofanyika Machi 23, baada ya bunge kushindwa hapo Jumanne kuidhinisha bajeti ya serikali.

https://p.dw.com/p/3n9KX