1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.12.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Desemba 2020

Viongozi wa dini Uganda wataka uchaguzi wa rais uahirishwe kwa sababu za Covid-19 na pia vurugu// Tanzania: Wafanyabiashara walilia hali ngumu ya uchumi// Idara ya afya mjini Hong Kong imesema wanafunzi wawili waliowasili kutoka Uingereza wameambukizwa aina mpya ya kirusi cha corona kinachosambaa kwa kasi nchini Uingereza.

https://p.dw.com/p/3nATC