23.12.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

23.12.2019 Matangazo ya Jioni

Kiongozi aliyekuwa na nguvu wa vikosi vya jeshi la Algeria, jenerali Ahmed Gaid Salah aliyekuwa akiiongoza nchi hiyo baada ya kulazimika kujiuzulu rais Abdelaziz Bouteflika, amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo leo// Mahakama moja nchini Saudi Arabia imewapa watu watano adhabu ya kifo, baada ya kuwakuta na hatia ya mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi.

Sikiliza sauti 60:00