Mshukiwa mkuu katika shambulizi la lori lililouwa watu 12 katika soko la Krismasi mjini Berlin, Anis Amri, ameuwa mjini Milan, Italia// Chama tawala na upinzani wamefikia makubaliano ya kisiasa ambayo yanaweza kutiwa saini mchana baada leo chnini ya upatanishi wa kanisa katoliki nchini Kongo// IBEC-Maaskofu wa kanisa Katoliki wamemtaka rais Uhuru Kenyatta asitie saini sheria mpya.