23.12.2016 Matangazo ya jioni | Habari za Ulimwengu | DW | 23.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

23.12.2016 Matangazo ya jioni

Saa chache baada ya raia wa Tunisia aliyekuwa akisakwa hapa Ujerumani na Ulaya nzima kuuawa mapema leo Ijumaa mjini Milan nchini Italia, sasa kundi linalojiita Dola la Kiislamu linasema kijana huyo Anis Amri ndiye aliyetekeleza shambulio la mjini Berlin// Wapatanishi katika mazungumzo ya amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameelezea matumaini kuwa makubaliano yanaweza kuafikiwa.

Sikiliza sauti 59:59