Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania: Vyama vya upinzani vimekiuka sheria ya ushirikiano wa vyama/ Walimu Kenya waamriwa kuripoti shuleni ifikapo Septemba 28/ Navalny aruhusiwa kutoka hospitali Berlin/ Bunge la Uingereza laridhia muswada tata wa Boris Johnson/ ILO limechapisha ripoti mpya