1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.08.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S23 Agosti 2018

US-Rais Donald Trump amekabiliwa na mojawapo ya nyakati ngumu zaidi katika urais wake baada ya washirika wake wawili wa zamani kutiwa hatiani katika mashitaka ya uhalifu// Serikali ya Ujerumani inatayarisha sheria mpya ya uhamiaji yenye lengo la kuwaleta wafanyakazi wengi zaidi wenye ujuzi nchini Ujerumani, lakini imekataa hata hivyo mfumo wa kutoa alama ambao nchi nyingine unaupendelea.

https://p.dw.com/p/33cJe