23.08.2017 Matangazo ya asubuhi | Habari za Ulimwengu | DW | 23.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

23.08.2017 Matangazo ya asubuhi

Waangola leo hii wanapiga kura katika uchaguzi ambao utashuhudia Rais Jose Eduardo dos Santos aking'atuka madarakani// Sophia Abdi Noor ameingia kwenye daftari ya historia kwa kuwa mbunge wa kwanza wa kike kuchaguliwa tangu taifa lijanyukulie uhuru katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa Kenya// Marekani imezidi kujitenga na msimamo wake wa kumpinga Rais wa Syria Bashar al Assad.

Sikiliza sauti 51:59