23.07.2020 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

23.07.2020 Matangazo ya Mchana

Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekaribisha agizo la Rais John Magufuli la kuvitaka vyombo vya ulinzi kutotumia nguvu zaidi wakati wa uchaguzi mkuu// Kufutwa kazi kwa maafisa wanane wa ngazi za juu wa tume ya uchaguzi Uganda kumeibua mjadala mkali miongoni mwa wanasiasa nchini humo// Corona: Vipimo ni lazima ili kuingia Ujerumani// Uturuki yamtaka Haftar aondoke mji wa Sirte.

Sikiliza sauti 59:59