1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.07.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Julai 2020

Maelfu ya watu wameandamana mjini Bukavu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakishinikiza kuachiwa huru Vital Kamerhe// Viongozi watano wa Afrika Magharibi wanakutana leo hii katika jitihada za kuumaliza mkwamo wa kisiasa nchini Mali// Janga la corona lautikisa pakubwa ulimwengu wa Kiarabu// Ujerumani haitishwi na Marekani kuondoa wanajeshi.

https://p.dw.com/p/3fpm1