23.07.2019 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 23.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

23.07.2019 Matangazo ya Asubuhi

Benki ya Dunia pamoja na Shirika la IMF, ni taasisi mbili za fedha za kilimwengu ambazo zilibuniwa miaka 75 iliyopita kwa lengo la kuurekebisha uchumi wa kimataifa> Lakini hali ikoje panapohusika bara la Afrika kwenye taasisi hizi?/ Kampala: Kongamano la viongozi wa kanisa katoliki Afrika/ Kaunti ya Nakuru imeanza kutoa mafunzo ya ishara kwa wafanyikazi wake

Sikiliza sauti 51:59