1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.06.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S23 Juni 2020

Malawi inarudia uchaguzi wa rais leo baada ya mahakama kuyafuta matokeo ya uchaguzi wa mwaka uliopita yaliyompa ushindi Rais Peter Mutharika/ Serikali ya Tanzania imeikosoa polisi ya Uganda kwa kuishikilia dhahabu ya raia wake yenye uzito wa kilo 93 kinyume na sheria na kanuni za usafishaji wa bidhaa kupitia nchi moja kuelekea kwingine/ Kenya/ COVID-19: Sekta ya utalii imeathirika pakubwa

https://p.dw.com/p/3eBKD