1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.05.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S23 Mei 2019

Umoja wa mataifa umesema, wapiganaji wa kisomali wa kundi la Al shabaab, sasa, wanatengeneza vilipuzi yao wenyewe majumbani, kama njia ya kujiandaa na kuongeza mashambulizi yao// Wakati dunia ikiwa inaadhimisha siku ya fistula, nchini tanzania inakadiriwa kuwa takriban wagonjwa wapya elfu tatu

https://p.dw.com/p/3IwNX