1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.05.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S23 Mei 2018

Iran hii leo imeendelea kupinga masharti kutoka Marekani ya kufanyia mabadiliko sera zake za kigeni na mpango wake wa nyuklia// Rais Paul Kagame wa Rwanda leo amekuwa na mazungumzo mjini Paris na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa// Shirika la afya ulimwenguni WHO limeonya kuwa mripuko wa ugonjwa wa Ebola una uwezakano mkubwa wa kuenea huko jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.

https://p.dw.com/p/2yDBA