1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.04.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S23 Aprili 2021

Hatua ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kutangaza nia ya kukutana na vyama vya siasa nchini humo imepokelewa kwa hisia mchanganyiko// Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imelaani na kuahidi kuwachukulia hatua za kinidhamu askari waliomshambulia nmwandishi wa habari// Umoja wa Mataifa wasikitishwa na mzozo wa Tigray// Chanjo ya Covid kuwafikia watu wote Ujerumani kufikia mwezi Juni.

https://p.dw.com/p/3sTSq