1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.03.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S23 Machi 2020

Zaidi ya watu 337,000 wameambukizwa virusi hivyo hatari duniani na wengine 14,651 wamekufa kutokana na ugonjwa wa Covid19// Baada ya Rais John Magufuli kulihutubia taifa hapo Jana huku akionesha serikali yake haina nia ya kifunga mipaka, asasi za kiraia zimetoka hadharani na kudai kuwa kuna ulazima wa kufanya hivyo// Pompeo amewasili mjini Kabul katika juhudu za kuokoa mkataba na Taliban.

https://p.dw.com/p/3ZuVD