23.03.2018 Matangazo ya mchana | Habari za Ulimwengu | DW | 23.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

23.03.2018 Matangazo ya mchana

Rais wa Marekani Donald Trump amemuomdoa Mshauri wake wa usalama wa taifa H.R McMaster na kumteua katika nafasi hiyo John Bolton mtu mwenye msimamo mkali na aliyewahi kuwa balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa// Viongozi wa Umoja wa Ulaya leo wanatarajiwa kuweka msingi wa awamu ijayo ya mazungumzo ya Uingereza kujiondoa kwenye umoja huo, unaojulikana kama Brexit.

Sikiliza sauti 60:00