Kumetokea mvutano mkubwa baina aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo nchini Tanzania Nape Nnauye na maofisa wa polisi// Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS limedai kuhusika na shambulio la kigaidi la mjini London// Kenya na Somalia zimeafikiana kushirikiana katika nyanja za usalama, elimu na miundombinu ili kuleta amani na maendeleo katika nchi hizo mbili.