1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.02.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S23 Februari 2017

Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Syria yanaanza tena leo baada ya miezi kumi ya mkwamo// Wakati miji ilioko kandoni mwa Mto Rhein ikijiandaa kwa sherehe za Kanivali zinazoanza hii leo, hatua kali za kiusalama zimechukuliwa katika maeneo muhimu zinakofanyika sherehe hizo// Katika miongo miwili iliyopita, serikali ya Ethiopia imekuwa ikishuhudia mafanikio mazuri ya kiuchumi.

https://p.dw.com/p/2Y7Gx