1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.12.2018 Matangazo ya mchana

22 Desemba 2018

Shughuli za serikali zaanza kufungwa Marekani kutokana na mkwamo wa bajeti ya ujenzi wa ukuta wa mpakani na Mexico // Shambulizi la bomu karibu na kasri la rais katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu limesababisha vifo vya zaidi ya watu sita // Na matokeo ya mwanzo yanayonyesha kuwa rais wa zamani wa Madagascar Andry Rajoelina anatarajiwa kurejea madarakani

https://p.dw.com/p/3AXR5