1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.12.2018 Matangazo ya jioni

Bruce Amani
22 Desemba 2018

Timu ya Umoja wa Mataifa imewasili Yemen kuanglia utekelezwaji wa mpango wa kusitisha mapigano mjini Hodeida // Watu 17 wameuawa katika mashambulizi ya bomu karibu na makaazi ya rais katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu // Na Maandamano kuhusu hali ya kiuchumi inayoendelea kuwa mbaya nchini Sudan yameingia siku yake ya nne

https://p.dw.com/p/3AXpv