1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.10.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Oktoba 2021

Rais Joe Biden wa Marekani amesema nchi yake itaitekeleza ahadi yake kukilinda kisiwa cha Taiwan, endapo China itakivamia+++Polnad na Umoja wa Ulaya wameshindwa kuafikiana kuhusu mzozo wa sheria za umoja huo+++Rais Kenyatta aamrishwa kuwateua majaji katika siku 14+++Eswatini yapiga marufuku maandamano huku hali ikiendelea kuwa mbaya zaidi.

https://p.dw.com/p/421Zm