1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.10.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Oktoba 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tanzania inaridhishwa na uhusiano mzuri wa kidugu uliopo na nchi ya Burundi+++Ethiopia yafanya mashambulizi kwa siku ya nne Tigray+++Baadhi ya wasomi pamoja na wachambuzi nchini Tanzania wameanza kuhoji mtindo mpya unaotumiwa na wanasiasa kuwataja viongozi kwa majina binafsi+++Viongozi kuharakisha mchakato wa uchaguzi Somalia.

https://p.dw.com/p/424dP