Ujerumani yaitisha ukanda wa usalama Syria/ Netanyahu ashindwa kuunda serikali/ Ebola: Mawaziri wa sekta ya afya kutoka nchi 9 zinazopakana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekamilisha mkutano wao mjini Goma/ Sudan Kusini: Kiongozi wa upinzani ameonya kuwa nchi hiyo inaweza kurudi katika vita vya wenyewe kwa wenyewe > Mahojiano/ Erdogan na Putin wakutana Sotchi