1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.09.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S22 Septemba 2022

✍Tanzania na Msumbuji zatia saini mikataba ya kupambana na ugaidi ✍Idadi ya waliokufa katika maandamano yanayoendelea Iran yafikia watu 31. Maandamano hayo yanafuatia kifo cha msichana mwenye umri wa miaka 22, kilichotokea mikononi mwa polisi wa maadili. ✍Wabunge kutoka jamii za wafugaji Kenya sasa waitaka serikali kutangaza kiangazi kuwa janga la taifa.

https://p.dw.com/p/4HE6p