22.09.2021 Matangazo ya Mchana | Media Center | DW | 22.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

22.09.2021 Matangazo ya Mchana

Biden ahutubia hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa/ Taliban wataka kuzungumza katika baraza la Umoja wa Mataifa/ Raia nchini Kenya wana shauku ya kufahamu iwapo malengo ya mpango wa maendelo wa mwaka 2030 yatafikiwa katika wakati ufisadi na siasa za uhasama zikitajwa kama vikwazo kwa Kenya kupiga hatua/ Wamyanmar wakimbilia India kufuatia vurugu za jeshi/ Siku ya Faru dunian

Sikiliza sauti 60:00