1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.09.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S22 Septemba 2020

Kampeni za uchaguzi wa kuwania ubunge katika majimbo mbali mbali nchini Tanzania zimepamba moto/ Barua kutoka Dar/ Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Amina J Mohammed katika mahojiano maalum na shirika la habari la DW amesisitiza kuwa Umoja wa Mataifa haukufeli katika malengo ya ruwaza ya mwaka 2015/ Mali inatimiza miaka 60 ya uhuru wake kutoka kwa Ufaransa

https://p.dw.com/p/3ip9L