Martin Schulz mgombea wa kiti cha ukansela nchini Ujerumani kupitia chama cha Social Democratic, SPD ni mpinzani mkuu wa Kansela Angela Merkel wa chama cha Christian Democratic Union, CDU// Agizo la Rais wa Tanzania John Magufuli la kutaka kujengwa kwa ukuta katika eneo linalozunguka machimbo ya Tanzanite huko Simanjiro, umepokelewa kwa hisia tofauti na wadau wa madini mkoani humo.