Waandamanaji wa Hong Kong washambuliwa na wahuni/ Mgogoro kati ya Iran na Uingereza unaendelea ambapo Theresa May ataongoza kikao cha dharura/ Tanzania: Rais Magufuli awaapisha mawaziri wapya/ Kenya: Mapendekezo ya kubadilisha katiba yanayopigiwa debe na chama cha Thirdways Alliance kwa jina Punguza Mizigo, yanazidi kuibua homa miongoni mwa wanasiasa