22.06.2022 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 22.06.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

22.06.2022 Matangazo ya Jioni

Mahakama Kuu imeyatupilia mbali maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 wanachama wa Chadema kutokana na kasoro katika jina la mjibu maombi wa kwanza/ Vifo vya Tetemeko la Ardhi Afghanistan vyafikia 1,000/ Amnesty: Raia lazima walindwe Kongo/ Wajumbe wa Baraza la usalama la Umoja wa Afrika wako ziarani Burundi / Unyanyapaa dhidi ya walioambukizwa virusi vya HIV bado ni changamoto barani Afrika