Kansela Angela Merkel amekutana na Waziri Mkuu wa Lebanon, Saad Hariri, katika ziara yake ya siku mbili ambapo pia anatarajiwa kukutana na maafisa, wafanyabiashara na wajumbe wa mashirika ya Umoja wa Mataifa// Viongozi wanaohasimiana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na makamu wake wa zamani Riek Machar, hatimaye wamekutana kwa mara ya kwanza mjini Addis Ababa, Ethiopia.