1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.06.2018 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S22 Juni 2018

Mkutano wa mawaziri wa nchi wanachama wa shirika la mataifa yanayozalisha mafuta kwa wingi, OPEC, pamoja na mataifa yasiyo wanachama unaanza leo mjini Vienna// Orodha ya hatua za kulipiza kisasi kutoka Umoja wa Ulaya dhidi ya ushuru uliowekwa na Marekani dhidi ya bidhaa za mataifa ya Umoja wa Ulaya itaanza kutumika leo tarehe 22 Juni.

https://p.dw.com/p/303h9