22.05.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 22.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

22.05.2019 Matangazo ya Jioni

Marekani, Uingereza na Norway zimeitolea wito Sudan wa kupatikana makubaliano ya haraka kati ya waandamanaji nchini Sudan na viongozi wa kijeshi kuhusu kuundwa serikali ya kiraia// Mwili wa aliekuwa kinara wa upinzani nchini Kongo ,Etienne Tshisekedi, utarejeshwa mjini Kinshasa alhamisi ijayo kwa ajili ya mazishi ya kitaifa.

Sikiliza sauti 60:00